UKWELI-MCHUNGU MWANAUME NA PESA
> *VIJANA: UKWELI MCHUNGU KUHUSU PESA NA MAPENZI*
>
> Mwanamke, anaweza kuvumilia umaskini wa baba yake, lakini sio umaskini wa mpenzi wake. Kwasababu ana uwezo wa kubadilisha mpenzi lakini hana uwezo wa kubadilisha baba.
>
> *Huu ndio ukweli unaouma:* Mwanamke anaangalia future. Akiona huna mpango wa pesa, anakubadilisha kama shati. Baba yako ni damu - huwezi kumbadilisha.
>
> *HIVYO VIJANA TUTAFUTE PESA.* Sio kwa ajili ya mwanamke. Ni kwa ajili ya kuheshimika. Mwanamke akiona una-drive, atakufuata. Usipokuwa na dira, utaachwa.
>
> *Swali kwako:* Unavumilia umasikini wa nani sasa? Mpenzi au wewe mwenyewe? Comment chini
Comments
Post a Comment