KITENDAWILI KIGUMU: NI MSICHANA YUPI AMETUMIA HEKIMA? + ZAWADI IPO
*NGOJA NIKUPE KAZI YA AKILI 👇*
Leo tunacheza na ubongo kidogo mkuu. Hiki ni kitendawili kilichowashangaza watu 25,000+ Instagram.
*SWALI LA LEO:*
> Wasichana wa 3 walikuwa wanaoga sehemu moja, ghafla akatokea mvulana mmoja.
>
> Msichana wakwanza akaficha matiti yake,
> Msichana wa pili akaficha uchi wake,
> Na wamwisho akaficha uso wake.
>
> *Je, ni msichana yupi kati ya hao ametumia hekima?*
Fikiria kwa sekunde 10 kabla hujaendelea kusoma...
---
*MAELEZO YA HEMKIMA:*
Watu wengi wanakosea hapa. Wanaangalia aibu tu.
Lakini hekima si kuficha mwili. *Hekima ni kujilinda kwanza.*
---
*ZAWADI IPO KWA MSHINDI 🎁*
Kama utajibu sahihi.
*Comment hapa chini:*
1. NI MSICHANA NAMBA NGAPI KATI YA 3
2. Acha jina lako la WhatsApp. Nitakuchagulia zawadi ya PDF `Vitendawili 50 Vigumu vya Hekima` bure.
*PS:* Share blog hii kwa rafiki yako 1. Tumwone kama ana akili au la 😂
*Tags:* #vitendawili #hekima #maswali #akili #maisha #tanzania #ukwelimchungu
---

Comments
Post a Comment